MWL. MGISA MTEBE - KUMTAMBUA NA KUMHESHIMU ROHO MTAKATIFU | Divinity School TV

Kanisa la leo limekuwa dhaifu na maisha ya watu wa Mungu wa leo yamekuwa haya nguvu za Mungu kwa kilinganisha na waumini wa Kanisa la Mitume wa Kwanza wa BWANA Yesu, na moja ya sababu ni kwamba Hatujamtambua na Kumheshimu Roho Mtakatifu (Mwenye Kanisa)...

mwl, mgisa, mtebe, kumtambua, na, kumheshimu, roho, mtakatifu

MWL. MGISA MTEBE - KUMTAMBUA NA KUMHESHIMU ROHO MTAKATIFU

Published by: Divinity School
Date: 04/27/2021
Views: 9
Embed

Kanisa la leo limekuwa dhaifu na maisha ya watu wa Mungu wa leo yamekuwa haya nguvu za Mungu kwa kilinganisha na waumini wa Kanisa la Mitume wa Kwanza wa BWANA Yesu, na moja ya sababu ni kwamba Hatujamtambua na Kumheshimu Roho Mtakatifu (Mwenye Kanisa) katika namna anayotaka. Tumeweka utegemezi katika vitu vingine kuliko katika KArama na Upako wa Roho Mtakatifu. Fundisho hili linalenga kukupa Kumjua Roho wa Mungu, Kumtegemea na Kumtii 100% ili nawe utembee na Nguvu zake maishani mwako, kukupa Ushindi dhidi ya kila upinzani. Mungu akubariki unapojifunza. Kumbuka kuwashsirikishanna wengine wengi. CD na DVD na Vitabu mbalimbali vya Mwl. Mgisa Mtebe, vinapatikana kwa +255 753 497 655. Barikiwa sana.

Channels:
Tags: